MSHIRIKA WAKO WA TEKNOLOJIA
YOUR OVERALL TECH SOLUTIONS PARTNER
Damygaso Tech tunaunganisha IT Support & Security, Graphic & Brand Design, na Website & App Development sehemu moja — ili biashara yako ionekane, ifanye kazi, na ikue kidijitali bila usumbufu.
Damygaso Tech brings IT Support & Security, Graphic & Brand Design, and Website & App Development together — so your business looks good, runs smoothly, and grows online without the hassle.
HUDUMA ZETU
OUR SERVICES
Kila kundi la huduma limejengwa kusaidia biashara yako kufanya kazi vizuri, kuonekana kitaalamu, na kukua mtandaoni.
Each pillar is built to help your business run better, look professional, and grow online.
Msaada wa kitaalamu na wa haraka kwa mifumo ya kompyuta ya ofisi yako, on-site au remote.
Fast, professional support for your business systems — on-site or remote.
Soma zaidi → Learn more →
Tunatengeneza utambulisho wa kampuni unaokumbukwa — kutoka logo hadi matangazo ya mitandao ya kijamii.
We craft memorable brand identity — from logos to social media campaigns.
Soma zaidi → Learn more →
Tovuti na apps zinazofanya kazi vizuri kwenye kila kifaa, zenye SEO kamili na hosting mwaka mzima.
Websites and apps that work flawlessly on every device, fully SEO-optimized with a year of hosting.
Soma zaidi → Learn more →KWA NINI SISI
WHY CHOOSE US
Kila tovuti tunayotengeneza inakuja na hosting na domain ya mwaka mzima.
Every website we build includes a full year of hosting and domain, included.
Tovuti yako itaonekana kwenye Google — tunaweka structure, meta-tags na maudhui sahihi.
Your site is built to be found on Google — correct structure, meta tags, and content from day one.
Simu, tablet au kompyuta — muonekano unabaki mzuri na wa kitaalamu.
Phone, tablet, or desktop — the experience stays sharp and professional.
Tunakusaidia baada ya kukabidhi kazi — hakuna kuachwa peke yako.
We stay with you after delivery — you're never left figuring it out alone.
HITAJI HARAKA?
NEED HELP FAST?
Tueleze unachohitaji, tutakujibu ndani ya masaa machache kupitia WhatsApp au simu.
Tell us what you need — we'll reply within hours via WhatsApp or a call.
Jaza Fomu ya Booking Fill the Booking Form 📞 0743 322 107KAZI ZETU
OUR WORK
Muundo safi wa kitaalamu kwa kampuni zinazohudumia wateja B2B.
Clean, professional structure for companies serving B2B clients.
Logo, rangi na label ya bidhaa inayovutia kwenye soko.
Logo, color system, and packaging that stands out on the shelf.
Mfumo wa kuuza bidhaa mtandaoni na malipo rahisi kwa mteja.
A store system with an easy, trustworthy checkout experience.
MANENO YA WATEJA
CLIENT REVIEWS
"Mfumo wetu wa kompyuta ulikuwa unaharibika mara kwa mara. Damygaso Tech walikuja on-site, wakatatua na hadi leo hatuna tatizo."
"Our office systems kept failing. Damygaso Tech came on-site, fixed it properly, and we haven't had an issue since."
"Waliboresha logo na branding ya duka langu. Wateja wananiambia sasa naonekana mtaalamu zaidi."
"They redesigned my shop's logo and branding. Customers now tell me I look far more professional."
"Tovuti yetu mpya inaonekana kwenye Google sasa. Mawasiliano yalikuwa rahisi kuanzia mwanzo hadi mwisho."
"Our new site now actually shows up on Google. Communication was smooth from start to finish."
MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA
FREQUENTLY ASKED QUESTIONS
Tovuti ya kampuni ya kawaida huchukua siku 5–10 za kazi, kutegemea na maudhui unayotupatia. E-commerce na apps huchukua muda zaidi.
A standard company website takes about 5–10 working days, depending on how quickly content is provided. E-commerce and apps take a bit longer.
Ndiyo — kila mradi wa website unakuja na mwaka mmoja wa hosting na domain, pamoja na miezi 3 ya maintenance bila malipo.
Yes — every website project includes one year of hosting and domain, plus 3 months of free maintenance.
Zote mbili. Huduma za IT support tunaweza kufanya on-site (Dar es Salaam) au remote kwa maeneo mengine ya Tanzania.
Both. IT support can be delivered on-site in Dar es Salaam or remotely for clients elsewhere in Tanzania.
Tunatumia mfumo wa awamu mbili: asilimia 50 kuanza mradi, na asilimia 50 kabla ya kukabidhi kazi ya mwisho.
We use a two-part payment plan: 50% to start the project, and 50% before final delivery.
Jaza fomu ya "Book yours now" kwenye ukurasa wa Huduma, au tuma ujumbe WhatsApp — tutakujibu ndani ya masaa machache.
Fill the "Book yours now" form on the Services page, or message us on WhatsApp — we'll reply within hours.