KUHUSU SISI

ABOUT US

Timu ndogo, matokeo makubwa A small team, big results

Damygaso Tech ilianzishwa Ukonga, Dar es Salaam, kwa lengo moja: kufanya teknolojia ipatikane kwa urahisi kwa kila biashara, ndogo au kubwa.

Damygaso Tech was founded in Ukonga, Dar es Salaam, with one goal: make technology accessible to every business, small or large.

HADITHI YETU

OUR STORY

Kutoka msaada wa IT hadi mshirika kamili wa teknolojia From IT support to a full tech partner

Tulianza kwa kutoa msaada wa IT kwa biashara za karibu nasi. Wateja walipoanza kutuuliza pia kuhusu logo, branding, Apps na website, tuliona pengo moja: Biashara nyingi zilikuwa zikitumia watu tofauti kwa kila huduma, jambo linalochelewesha kazi na kupunguza mshikamano wa brand.

We started by offering IT support to businesses near Us. When clients began asking us about logos, branding, Applications and websites too, we noticed a gap: many businesses were juggling different providers for each service — slowing work down and breaking brand consistency.

Leo, Damygaso Tech inatoa huduma zote tatu chini ya paa moja — IT Support & security, Graphic & Brand Design, na Website & App Development — ili wateja wapate ufumbuzi mmoja, thabiti, na wa kuaminika.

Today, Damygaso Tech offers all three under one roof — IT Support & security, Graphic & Brand Design, and Website & App Development — so clients get one consistent, reliable solution.

Damygaso Tech Office & Team

Dira Yetu

Our Vision

Kuwa kampuni ya teknolojia inayoaminika zaidi Tanzania kwa biashara zinazotaka kukua kidijitali.

To be the most trusted technology partner in Tanzania for businesses ready to grow digitally.

Dhamira Yetu

Our Mission

Kutoa huduma za IT, design na website zenye ubora wa kimataifa, kwa bei na mawasiliano yanayoeleweka kwa biashara za Kitanzania.

To deliver world-class IT, design, and website services with pricing and communication that make sense for Tanzanian businesses.

MISINGI YETU

OUR VALUES

Tunachosimamia What we stand for

Ubora

Quality

Kila mradi unapitia ukaguzi mkali kabla ya kukabidhiwa — hakuna kazi ya haraka haraka inayotoka mikononi mwetu.

Every project goes through strict review before delivery — no rushed work leaves our hands.

Uwazi

Transparency

Bei, muda wa kukamilisha, na mahitaji ya mradi tunakubaliana tangu mwanzo — hakuna gharama zilizofichwa.

Price, timeline, and scope are agreed upfront — no hidden costs, ever.

Uungwaji Mkono

Ongoing Support

Hatuishii kukabidhi mradi tu — tunaendelea kuwepo bega kwa bega na wewe kwa miezi 3 baada ya kuzinduliwa.

We don't just hand over projects and disappear — we stay by your side with 3 months of post-launch support.

FAIDA YETU

WHY US

Kwa nini uchague kufanya kazi na sisi? Why choose to work with us?

Huduma ya Pamoja (All-in-One)

All-in-One Solution

Huna tena haja ya kutafuta mtu wa IT sehemu nyingine na mbunifu sehemu nyingine. Tunakupa kila kitu chini ya paa moja.

No need to juggle multiple providers for IT, design, and web. We handle everything under one roof.

Uelewa wa Soko la Tanzania

Local Market Insight

Tunajua changamoto na fursa za biashara za Kitanzania, hivyo tunatoa suluhisho zinazoendana na mazingira yetu halisi.

We understand the local Tanzanian business landscape, delivering solutions tailored to our environment.

Mawasiliano ya Haraka

Fast Communication

Tuko hapa hapa Dar es Salaam. Unapohitaji msaada wa on-site au wa haraka mtandaoni, tunapatikana kwa urahisi kupitia WhatsApp na simu.

Based right here in Dar es Salaam, ready for on-site visits and responsive communication via WhatsApp and phone.

TIMU YETU

OUR TEAM

Watu Wanaosimamia Kazi Yako The People Behind Your Project

Damas Gambo

Damas Gambo

Mwanzilishi & IT / Graphic & Brand Design Lead

Founder & IT / Graphic & Brand Design Lead

Anaongoza miradi ya IT Support na Anasimamia utambulisho wa brand na design ya mitandao ya kijamii.

Leads IT Support and Oversees brand identity, social media design.

Francis Bahati

Francis Bahati

Website & App Development

Website & App Development

Anaongoza miradi ya Website & App Development, akihakikisha kila mfumo unafanya kazi bila usumbufu.

Leads Website & App Development projects, making sure every system runs without a hitch.

Tayari kufanya kazi na sisi? Ready to work with us?

Tuambie mradi wako, tuanze leo.

Tell us about your project, and let's get started today.

Weka Order Book Now